Sunday, June 24, 2012

BARABARA YA MOROGORO SASA KERO TUPU...


Magari yakipita kwa shida kwenye maji yaliyotuama katikati ya barabara ya Morogoro kutokana na mvua iliyonyesha mwishoni mwa wiki, jijini Dar es Salaam. Barabara hiyo ipo kwenye upanuzi chini ya kampuni ya ujenzi ya Strabag.

No comments: