Tuesday, June 5, 2012

MZEE MAGENI MUSOBI AZIKWA KIJIJI KWAKE...


Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad ambaye pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar akiweka mchanga katika kaburi la Muasisi wa chama hicho, Marehemu Petro Musobi Mageni, wakati wa mazishi huko Ngudu, Wilaya ya Kwimba, Mwanza jana. Kulia ni Mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba.

No comments: