Tuesday, June 5, 2012

CBA YAZINDUA PROMMOSHENI YA "WEKA PESA NA USHINDE"...


Mkuu wa kitengo cha Wateja Binafsi wa Benki ya CBA, William Mungai (katikati), Mkuu wa Kitengo cha Masoko, Aaron Luhanga (kushoto) na Mkuu wa Kitengo cha Makampuni, Fatma Abdallah kwa pamoja wakizindua Promosheni ya "Weka Pesa na Ushinde" kwa wateja wa benki hiyo mbele ya waandishi wa habari, Dar es Slaaam mapema leo. Zawadi za washindi zitakuwa Laptop, Desktop, Printer, Plasma Screen, DVD, Home Theatre na  Jokofu.

No comments: