Mama Leoni akilia kwa uchungu mbele ya jeneza lenye mwili wa mume wake, Marehemu Mathias Kihaule wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa marehemu kwenye Kanisa Katoliki la Msimbazi, Dar es Salaam leo mchana kabla ya kusafirishwa nyumbani kwake, Ludewa, mkoani Njombe. Kihaule alifariki dunia Jumapili iliyopita.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi na Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto) wakitoa heshima za mwisho mbele ya mwili wa Mathias Kihaule katika Kanisa Katoliki Msimbazi leo mchana.

No comments:
Post a Comment