Maisha ya mwendesha pikipiki yalikuwa mashakani pale alipokaribia kifo baada ya watu wawili wa rika la kati kumtegea kizuizi njiani alipokuwa akipita na pikipiki yake kukatisha shamba.
Chris Richmond anasemekana alikuwa akiendesha pikipiki yake kwa spidi 20 ndipo alipojibamiza katika kizuizi cha ukanda wa kulishia wanyama na kumsababishia mikwaruzo na majeraha shingoni.
Wauguzi katika hospitali walimwambia kwamba angeweza kukatwa kichwa katika tukio hilo lililomwacha akiwa na taharuki na kushindwa kupumua.
Mfanyakazi wa kiwandani huko Newton Heath, mjini Machester, anaamini mwanaume mmoja na mwanamke wamehusika na tukio hilo kama malipizi sababu alikuwa akiendesha pikipiki yake eneo ambalo hakutakiwa kufanya hivyo.
Polisi wamelichukulia shambulio hilo kama shambulio baya la kudhuru mwili.
Tukio lilitokea baada ya Chris mwenye miaka 23 na rafiki zake wawili walipokuwatana na vijana waliokuwa wakiendesha pikipiki ya kijani 125cc kwenye majani eneo la Failsworth mjini humo.
Yeye na rafiki zake wakaomba kuendesha pikipiki. Alisema: "Nakumbuka mwanamke alinitazama vibaya kabla, kama vile kusema, "Hukutakiwa kufanya hivyo".
"Labda sikutakiwa lakini hiyo haikuwa njia sawa kunifanyia. Huwezi kutarajia kitu hicho kwa watu wa umri wake.
"Wangeweza kuita polisi na wangeweza kutuondoa.
"Sikuweza kupumua na nilidhani naelekea kufa."
Chris, baba wa mtoto mmoja, amekuwa haendi kazini kwa miezi miwili sasa lakini alimudu kumaliza shifti yake ya masaa manane kiwandani siku moja tu baada ya shambulio hilo.
Alikuwa akifanya kazi ya vibarua na kusema amekatishwa tamaa ya kuweza kurudi kazini ili kusaidia malezi ya binti yake, Remme-Mae na mama yake, Jordane mwenye miaka 21.
Hapo kabla alifanya alikuwa akifanya kazi katika kampuni ya bima ya Direct Line kwa miaka mitano.
Chris alisema: "Nilikuwa natazamia kabisa kurejea kazini.
"Nilikwenda ofisini kuwaonesha majeraha yangu na walielewa vizuri.
"Walishangaa mno nilipowaeleza kwamba nilikwenda kazini Jumapili."
Mwanamke huyo mtembeza mbwa alikuwa mfupi mwenye nywele za kahawia na alikuwa na zaidi miaka 30 ama anakaribia miaka 40.
Mwanaume naye alikuwa na umri unaokaribiana na huo, nywele nyeusi na alikuwa na urefu kama futi sita hivi.
Polisi we Greater Manchester walishindwa kusema chochote jana kuhusu tukio hilo.

No comments:
Post a Comment