Hivi ndivyo hali ilivyokuwa jijini London katika shamrashamra za Tamasha la Maadhimisho ya Miaka 50 ya Malkia Elizabeth II ambapo watu zaidi ya nusu milioni wamekusanyika nje ya jengo la malkia la Buckingham Palace. Watu 12,000 waliobahatika kuingia bustanini walifaidi burudani mbalimbali zilizoandaliwa.

No comments:
Post a Comment