Mshindi wa zawadi ya pikipiki ya miguu mitatu aina ya bajaj, Jacob Massawe na mkewe Anna (waliosimama kulia) wa Kampuni ya Massawe Grocery wakifurahia zawadi yao yenye thamani ya sh. milioni 4.7, kwa kugonganisha chupa na baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) na baadhi ya wamiliki wa baa wilayani Kibaha, baada ya kampuni yao kuwa washindi wa kwanza Kanda ya Kusini kwa kusambaza na kuuza kwa wingi bidhaa za kampuni hiyo mkoani Pwani hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment