Monday, June 4, 2012

HIVI NDIVYO TAIFA STARS ILIVYOFUNGWA NA IVORY COAST...


Tumewaletea wapenzi wasomaji wetu video ya mabao ambayo timu yetu ya Taifa (Taifa Stars) ilifungwa na Ivory Coast juzi kwenye mechi ya kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia mjini Abidjan. Bao la kwanza lilifungwa na Salomon Kalou likifuatiwa na lile la Didier Drogba.

No comments: