Siku moja Profesa alikuwa akijadili mada moja yenye utata. Mwanafunzi kwa namna ya kukera akamkatisha Profesa na kuhoji, "Kuna ulazima gani kujadili mada hii ya kipuuzi?"
Kwa haraka Profesa akamjibu, "Ili kuokoa maisha!" Dakika chache baadaye mwanafunzi yuleyule akauliza tena, "Sasa Sayansi kweli inaokoa maisha?"
Profesa akajibu, "Ni kweli maana inawafanya mabwege kama wewe kukimbia masomo ya udaktari!" Duh...

No comments:
Post a Comment