Monday, June 25, 2012

BORA PUNDA AFE MZIGO UFIKE...


Abiria ambao wanahamia sehemu nyingine ya Dar es Salaam wakitokea Ukonga wakiwa wamekaa kwenye kiti ikiwa ni sehemu ya mizigo yao nyuma ya gari dogo la mizigo jambo ambalo ni hatari.

No comments: