Monday, June 25, 2012

ASHINDA BAJAJI PROMOSHENI YA "VUMBUA HAZINA CHINI YA KIZIBO"...


Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Kanda ya Ziwa, Patrick Kisaka (kushoto) akimkabidhi funguo Mariamu Karumba, mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika chuo cha Mtakatifu Agustino (SAUT) ambaye ni mshindi wa pikipiki aina ya bajaj ambayo ameshinda kupitia promosheni ya "Vumbua  Hazina Chini ya Kizibo" inayoendeshwa na kampuni hiyo, mjini Mwanza jana.

No comments: