Monday, June 25, 2012

ITALIA YAIFUNGASHA VIRAGO ENGLAND 'KWA MATUTA' EURO 2012...


Penalti mbili walizokosa wachezaji wenye majina yanayofanana, yaani Ashley Cole na Ashley Young wa England zimeiwezesha timu ya taifa ya Italia "The Azzuri" kutinga nusu fainali ya Michuano ya Euro 2012 kwa jumla ya penalti 4-2 katika mechi iliyopigwa usiku wa kuamkia leo ambayo hadi dakika 120 milango ilikuwa migumu kwa timu zote. Ifuatayo ni hatua ya mikwaju ya penalti hizo.

No comments: