Monday, June 25, 2012

MAISHA YA SHULE NI SAFARI NDEFU...


Mwalimu wa Shule ya Msingi Kichangani Wilaya ya Bahi, Mkoani Dodoma,  Hadija Maarufu akimgawia chakula mmoja wa wanafunzi wa shule hiyo hivi karibuni. Upatikanaji chakula shuleni umesaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza utoro wa wanafunzi katika shule nyingi za wilaya hiyo.

No comments: