Monday, June 4, 2012

ASHINDA MASHINE YA MIKATE PROMOSHENI YA "SAFARI WEZESHWA"...


Meya wa Manispaa ya Mbeya, Athanas Kapunga (kulia) akimkabidhi Hellen Mwanguku mashine ya kuoka mikate baada ya kushinda Promosheni ya Safari Wezeshwa. Makabidhiano hayo yalifanyika Viwanja vya CCM Iloma mjini Mbeya mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo.

No comments: