Wimbo wa mwisho kabisa kurekodiwa wa Whitney Houston hatimaye umetolewa hadharani, wimbo alioimba akishirikiana na Jordin Sparks ambao Whitney aliimba kwenye onesho moja siku nne kabla mauti kumfika.
Wimbo huo unaitwa "Celebrate" kutoka kwenye sinema yake ijayo ya "Sparkle" ambayo Whitney amecheza kama mama wa Jordin.
Baada ya Whitney kufariki, maofisa waligundua kidhibiti cha matumizi yaliyokubuhu ya dawa za kulevya kwenye chumba cha hoteli na kwenye mfumo wa damu mwilini mwake. Lakini prodyuza Harvey Mason Jr. haonekani kudhani matumizi yake ya dawa za kulevya yaliathiri ubora wa maonesho yake.
Mason Jr. ameeleza kwamba Whitney alikuwa ametumia dawa hizo wakati wa kurekodi... akisema, "Tulimaliza kipindi cha kucheza maeneo ya chumba maalumu ndipo akasema 'Rudia tena! Rudia tena! Alikuwa akifurahisha sana na mwenye upendo."
Sinema hiyo imepangwa kuingia sokoni mwezi Agosti mwaka huu.

No comments:
Post a Comment