Sunday, May 27, 2012

USALAMA BARABARANI...

Lori la mafuta likipita upande mwingine wa barabara kwenye njia ya akiba ya Barabara ya Morogoro maeneo ya Kimara-Rombo, Dar es Salaam. Kwa mujibu wa vibao vilivyowekwa kwenye barabara mbalimbali za akiba, ni marufuku kwa malori kama haya kutumia njia hizo. (Picha na ziro99blog).

No comments: