Sunday, May 27, 2012

BORA PUNDA AFE MZIGO UFIKE...

Mwendesha baiskeli ya miguu mitatu maarufu kama guta akijikongoja taratibu na mzigo wake kama alivyokutwa na mzururaji wetu kwenye Barabara ya Mandela maeneo ya Buguruni Sheli, Dar es Salaam. (Picha na ziro99blog).

No comments: