Thursday, May 24, 2012

SHAMRASHAMRA ZA USHINDI WA MNYIKA MAHAKAMA KUU...


Mbunge wa Jimbo la Ubungo (CHADEMA) John Mnyika akinyanyuliwa juu na wafuasi wa chama hicho baada ya kushinda kesi ya uchaguzi iliyokuwa ikimkabili katika Mahamaka Kuu, Kanda ya Dar es Salaam leo.

No comments: