Kamishna Mkuu wa Magereza, Augustino Nanyaro (kulia) akimvisha nishani, SSP Polisi Matata Kirangi.
Kamishna Mkuu wa Magereza, Augustino Nanyaro (kulia) akimvisha nishani, SSP George Ng’honono Mpangalimi.
Kamishna Mkuu wa Magereza, Augustino Nanyaro (kulia) akimvisha nishani, SP Evangelina Kauseni Lyimo.
Baadhi ya Maofisa wa Magereza waliovishwa nishani hizo wakifuatilia kwa makini sehemu ya matukio.
Kamishna Mkuu wa Magereza, Augustino Nanyaro (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Maofisa wa Magereza muda mfupi baada ya kuwavisha Nishani ya Mwenge wa Uhuru Daraja la Nne.
No comments:
Post a Comment