Monday, May 28, 2012

GF TRUCKS YAIKABIDHI MITAMBO YA UJENZI HALMASHAURI YA NJOMBE...


Spika wa Bunge, Anne Makinda ambaye pia ni Mbunge wa Njombe Kusini (wa pili kushoto) akikabidhiwa mfano wa funguo ya mitambo mbalimbali ya ujenzi wa barabara na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya GF Trucks, Imran Karmali ikiwa kama ishara ya makabidhiano ya mitambo hiyo kwa ajili ya ujenzi wa barabara za Halmashauri ya Njombe wenye thamani ya shilingi milioni 716. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya kampuni hiyo, Mehboob Karmali na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Njombe, George Mkindo.
Mbunge wa Njombe Kusini, Spika Anne Makinda akijaribu moja ya mitambo iliyokabidhiwa kwa Halmashauri ya Njombe na Kampuni ya GF Trucks leo jijini Dar es Salaam. Anayeshuhudia ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Imran Karmali.

No comments: