Monday, May 28, 2012

TBL YAZINDUA CASTLE LITE YA KOPO...

Meneja Mawasiliano na Mahusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Edith Mushi akizungumza na waandishi wa habari mapema leo kuhusu bia ya Castle Lite ya kopo wakati wa uzinduzi uliofanyika Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja wa Bia hiyo, Pamela Kikuli. 
Huu ndio muonekano wa Castle Lite mpya ya kopo. (Picha zote na Mpigapicha Maalumu).

No comments: