MCHANGIE KIJANA MWENZAKO
SAJUKI, ANAUMWA!!
Kufuatia hali ilivyo (alivyoonekana zamani na alivyo sasa hapo juu), ziro99blog tunatoa wito kwa wasomaji wetu na wadau mbalimbali tumchangie fedha msanii maarufu wa filamu nchini, Juma Kilowoko maarufu kama Sajuki kwa ajili ya matibabu yake kupitia simu ya mkononi kwa kutuma kwenye Tigopesa namba 0713 666 113 au kwenye akaunti namba 050000003047 katika Benki ya Akiba Commercial yenye jina la Wastara Juma Issa.UJUMBE: Si kwamba tunacho kikubwa mno lakini kidogo tulichojaliwa tunagawana! MUNGU AWABARIKI!!

No comments:
Post a Comment