Monday, April 23, 2012

LULU APANDISHWA KIZIMBANI KWA MARA YA PILI...

Msanii Elizabeth Michael 'Lulu' alipokuwa akiingia mahakama ya Kisutu, Dar es Salaam huku akiwa  chini ya ulinzi mkali leo asubuhi kusikiliza kesi inayomkabili ya tuhuma za mauaji ya Steven Kanumba.

No comments: