Monday, April 23, 2012

OFISI HATARI...

Jamaa hawa wakiendelea na biashara zao chini ya transfoma la umeme bila kujali athari zinazoweza kuwakuta itakapotokea hitilafu kama walivyokutwa leo mchana maeneo ya Buguruni. (Picha zote na ziro99blog)

No comments: