Moja ya mapori yaliyoko kwenye maeneo yanayomilikiwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ambayo yalikuwa hatari kwa wakazi wa Changanyikeni, Dar es Salaam kwa kugeuka kuwa maficho ya vibaka na majambazi, sasa yameanza kushughulikiwa kikamilifu kwa chuo hicho kuanza kuyatumia kujenga mejngo mbalimbali kama inavyoonekana katika picha iliyopigwa leo mchana. (Picha na ziro99blog)
No comments:
Post a Comment