KIBURI KINAPOVUKA MIPAKA...

Hakuna tafsiri nyingine ila ni kiburi tu. Jamaa hawa wakiwa wamepaki malori yao kwa ajili ya matengenezo na pengine gereji mbele tu ya kibao kinachokataza magari makubwa kuegeshwa kwenye hifadhi ya barabara kama yalivyokutwa leo mchana katika Barabara ya Mandela eneo la External, Dar es Salaam. (Picha na ziro99blog)

3 comments:

Anonymous said...

hapo pia wako sahihi hawajapaki upande wa kibao wamepaki nyuma ya kibao kwahiyo wako sahihi

Unknown said...

daaaaaaaaaaa kiburi kitasha lini

Unknown said...

daaaaa