Monday, March 19, 2012

WAVUNJA SHERIA BARABARANI...

Wengi wa madereva wamekuwa wakihusika kwenye uvunjaji sheria barabarani jambo linachangia kwa kiasi kikubwa msongamano wa magari. Pichani dereva huyu akijaribu bila mafanikio kuchomeka gari lake kwenye foleni maeneo ya Kinondoni Makaburini leo asubuhi. (Picha na ziro99blog)
Wote wanawahi mwishowe wote wamekwama! Hii ilikuwa kwenye makutano ya Barabara ya Bagamoyo na Shekilango maeneo ya Bamaga, Dar es Salaam mara tu taa za kuongozea magari zilipozima. (Picha na ziro99blog)

No comments: