Monday, March 19, 2012

NYAKATI ZA MWISHO..?

Maajabu! Picha kubwa ya Yesu Kristo ilionekana kwenye eneo la wazi nchini Hungary wakati wa upigaji picha kwa njia ya Satelaiti uliofanywa na Google. Hii inaashiria nini? Je, ni nyakati za mwisho kama ilivyotabiriwa kwenye Maandiko Matakatifu?
Kama haitoshi, wakati wa zoezi hilo la upigaji picha kwa kutumia Satelaiti uliofanywa na Google likaonekana damu imetapakaa katika ziwa moja  kwenye mji wa Sadr, nchini Irak.
Katika hali isiyoeleweka, wakati wa zoezi la uchukuaji huo wa picha za Satelaiti kwenye mji mmoja Italia yalionekana mawingu yaliyotengeneza alama iliyotafsiriwa na wataalamu kuwa inaashiria Siku ya Hukumu.

No comments: