USTAARABU UNAPOKOSEKANA...
Daladala liendalo Gongolamboto likiwa limeegeshwa vibaya kwenye kituo cha Buguruni Chama asubuhi hii hivyo kusababisha magari mengine kushindwa kupita kwa urahisi na kusababisha msongamano usio wa lazima. (Picha na ziro99blog).
No comments:
Post a Comment