Tuesday, March 27, 2012

UJENZI WA BARABARA UNAOSUASUA...

Magari yakiwa yanakatiza kwenye barabara inayopita kati ya Chuo cha Ustawi wa Jamii na Baa ya Hongera kuepuka foleni kwenye Barabara ya Bagamoyo asubuhi hii. Barabara hii imekuwa kwenye matengenezo kwa kipindi kirefu sasa bila kujulikana itakamilika lini, bila kujali umuhimu wake katika kampeni nzima ya kupunguza foleni Dar es Salaam. Watumiaji wanaiomba serikali, pamoja na kuchelewa basi ijitahidi kuiweka kwenye kiwango cha lami. (Picha na ziro99blog)

No comments: