Tuesday, March 27, 2012

"SHORT-CUT" INAPOGEUKA KERO...

Magari yakiwa kwenye foleni katika Barabara inayoelekea Changanyikeni eneo la Utawala jirani na baa ya Hill Park, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Wakazi wengi wanaotokea Kimara wanaoelekea maeneo ya Mwenge wamekuwa wakilazimika kutumia barabara hii kufuatia foleni kubwa wanayokutana nayo kwenye taa za kuongozea magari Ubungo hali inayodaiwa kuchangiwa na askari wa usalama barabarani kuruhusu magari ya upande mmoja kwa muda mrefu sana na hivyo kuibua foleni pande nyingine. (Picha na ziro99blog)

No comments: