Tuesday, March 27, 2012

MADONNA AKANUSHA KUHAMASISHA DAWA ZA KULEVYA...

Mwanamuziki mashuhuri wa Marekani, Lady Madonna amekanusha vikali kwamba alitumia Tamasha la Ultra Music kuchochea umati uliohudhuria kutumia dawa za kulevya. Tunawaletea video ya tamasha hilo na alichokisema Madonna. (Tunaomba radhi kwani kuna baadhi ya maneno makali japo imehaririwa kwa kadri tunavyoweza).

No comments: