Monday, March 26, 2012

UJENZI VIWANJA VYA JANGWANI WASHIKA KASI...

Kijiko kikiendelea na kazi ya kuchimba eneo la Jangwani kando ya Barabara ya Morogoro leo asubuhi. Kwa mujibu wa wenjeji wa maeneo hayo, inasemekana maandalizi hayo ni ya ujenzi wa kituo cha mabasi yaendayo haraka (DART) ambao umeanza rasmi hivi karibuni kama ilinavyoonekana kwenye picha mbili za juu. (Picha na ziro99blog).

No comments: