ETI TAIFA LA KESHO!! Watoto wakiwa wamesimama katikati ya Barabara ya Morogoro eneo la Faya, Dar es Salaam ambapo wamekuwa wakijishughulisha na kuombaomba kwenye magari yanayosimama kwenye taa za barabarani ama wakati mwinginge kwenye foleni. Hili ni "Bomu la Masaa" kwani ni wazi wamekosa mwongozo mzuri wa malezi na hivyo kutishia hatma yao na kuishia ama kuwa machangudoa au wakabaji mitaani! Nani abebe lawama ikifikia hapo? (Picha na ziro99blog).
No comments:
Post a Comment