Baadhi ya wanaominika ni maofisa kutoka kampuni ya Songas wakikagua njia lilimopita bomba ya kubwa la gesi maeneo ya Changanyikeni, Dar es Salaam leo asubuhi. Songas ilipitisha bomba hilo kukatisha barabara na kusababisha uharibifu mkubwa (eneo wanaloonekana wamesimama pichani) ambapo wameshindwa kurekebisha kipande cha lami walichochimba na kuacha gema (kwenye mshale) ambalo limekuwa likisababisha ajali za mara kwa mara na vifo vya watumiaji wa barabara hiyo. (Picha na ziro99blog)
No comments:
Post a Comment