PETROLI SASA HAISHIKIKI...

Hutaki acha, paki gari lako nyumbani lakini ukweli unabaki pale pale kwamba hizi ndizo bei mpya za nishati muhimu ya Petroli kama ilivyokutwa na 'mzururaji' wetu leo mchana. Tunachoweza kusema ni kwamba sasa "Petroli Haishikiki" kutokana na kuwa kwa mara nyingine tena bei imeendelea kupaa badala ya kushuka ama kupungua kidogo kama ilivyozoeleka. Jamani tunakwenda wapi?

No comments: