LUGHA ZA WENYEWE JAMANI...

Bango linaloitangaza kampuni moja ya usafi likisomeka kimakosa kama lilivyonaswa na 'mzururaji' wetu kwenye moja ya maegesho ya magari maeneo ya Sinza, Dar es Salaam leo mchana. Kwa usahihi lilitakiwa lisomeke "FAME CONSOLIDATED SERVICES" badala ya hivyo linavyoonekana. Wahusika rekebisheni kurejesha heshima ya kampuni yenu.

No comments: