KIVUKO CHA CUF?

Bendera ya Chama cha Wananchi (CUF) ikiwa imetundikwa kwenye kibao cha alama ya kivuko cha waenda kwa miguu maeneo ya Manzese Bakhressa, Dar es Salaam. Sisi tumeshindwa kupata tafsiri ya haraka, lakini tunaamini wewe msomaji unaweza kuweka yoyote inayofaa.

No comments: