SIKU ZA MWISHO ZIMEWADIA...?

Wapita njia wakisikiliza mahubiri ya dini kutoka kwa mmoja wa wahubiri maeneo ya Posta Mpya, Dar es Salaam leo mchana bila kujali jua kali. Je, hizi ni ishara za siku za mwisho?

No comments: