USALAMA BARABARANI...

Mwendesha guta akipita katikati ya barabara bila kujali usalama wake na usalama wa watumiaji wengine kama alivyokutwa na 'mzururaji' wetu maeneo ya Sinza Palestina katika barabara ya Shekilango leo mchana.

No comments: