Wednesday, March 14, 2012

KUTANUA BARABARANI KUKO PALEPALE...

Mtindo wa madereva kuendesha magari yao upande usioruhusiwa kisheria maarufu kama "kutanua" umerejea kwa kasi hasa kwenye Barabara ya Kinondoni Makaburini kama ilivyonaswa na 'mzururaji' wetu leo asubuhi ambapo inasemekana licha ya askari wa usalama kushuhudia hali hiyo wamekuwa wakikaa kimya bila kuchukua hatua zozozte hali inayosababisha msongamano mkubwa na usumbufu kwa madereva waadilifu. (Picha na ziro99blog)

No comments: