Wednesday, March 14, 2012

AJALI NYINGI DAR HUSABABISHWA HIVI...

Bango linaloelimisha madereva kuacha kutumia simu wakati wakiwa barabarani kama lilivyokutwa maeneo ya Aga Khan, Dar es Salaam leo asubuhi. Ajali nyingi zinazotokea Dar es Salaam zimekuwa zikisababishwa na uzembe wa madereva kwa kuendekeza matumizi ya simu wakati wakiendesha magari kitu kinachochangia kukosa umakini na kujikuta kwenye matatizo. (Picha na ziro99blog)

No comments: