Thursday, March 1, 2012
CHEKA TARATIBU...
Kijana mmoja aliyepata ajira kwenye supermakert moja karipoti siku yake ya kwanza kazini. Meneja wake kamsalimu kwa furaha na bashasha tele. Baada ya salamu meneja akamwambia, "Kazi yako ya kwanza itakuwa ni kufagia stoo yote." Yule kijana akajibu papo hapo, "Lakini mimi ni mhitimu wa Chuo Kikuu." Meneja akasema, "Oh, samahani sana. Nilikuwa sijajua hilo." Akaendelea, "Nipe hilo fagio, ntakuonyesha jinsi ya kufagia." Duh, balaa!!
This is a blog that brings you hot news that aims to educate the community about various things including sports, culture, art, entertainment and social. This blog does not involve political issues at all. We ask for your cooperation and to contribute opinions on the various information we bring to you.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment