CHEKA TARATIBU...

Jamaa mmoja alikuwa akivuka barabara kwenye kivuko cha waenda kwa miguu. Lakini alipofika katikati ya barabara akashtukia gari likija kwa kasi na kusimama jirani kabisa kiasi cha kutaka kumgonga. Yule jamaa akamfuata dereva wa ile gari na kumfokea, "We chizi nini, huoni  kivuko cha pundamilia?"  Yule dereva akacheeeka na kumjibu, "Ina maana wewe ni pundamilia!" Balaa...

1 comment:

Anonymous said...

lol......