Saturday, March 10, 2012

BONGO KAMA MAMTONI...

Mandhari ya jiji la Dar es Salaam linavyoonekana kutokea maeneo ya Fukwe za Coco. Ukiondoa dosari ya uchafu, haina tofauti na Ulaya! Kwa mfano lakini...

No comments: