USALAMA BARABARANI...

Mambo ya Weekend! Jamaa hawa bila kujali hatari inayoweza kuwakabili wakiwa wamekaa juu ya gari kwenye barabara inayopita kandokando ya fukwe za Coco, Dar es Salaam kama walivyokutwa na 'mzururaji' wetu jioni ya leo. (Picha na ziro99blog)

No comments: