Saturday, February 18, 2012

MTEJA ANAPOPORWA UFALME WAKE

Abiria akiwa amepakiwa kwenye bodaboda bila kuvalishwa kofia ya usalama "helmet" huku dereva akiwa amevaa kofia hiyo kwenye moja ya kona za barabara iendayo Changanyikeni, Dar es Salaam leo. Hii inapingana na ule usemi wa "MTEJA NI MFALME". (Picha na ziro99blog)

No comments: