Saturday, February 18, 2012

KITUO CHA MABASI YAENDAYO KASI

Kituo cha Mradi wa Mabasi yaendayo Kasi eneo la Shekilango, Dar es Salaam. Kumekuwa na sintofahamu nyingi miongoni mwa wakazi wa jiji kuhusu jinsi huduma hiyo ya mabasi itakavyoendeshwa hasa kutokana na ukweli kwamba jiji limefurika magari. Uongozi wa blogu hii unaanzisha mjadala wa wasomaji wake kwa yeyote yule mwenye uelewa wa jinsi gani mabasi hayo yataendesha huduma zake katikati ya msongamano huo. Shiriki kwa kutumia email hii: ziro99blog@gmail.com

No comments: