Wednesday, February 15, 2012

DUKA LA NGUO ZA WATOTO

Duka la aina yake la nguo za watoto limefunguliwa rasmi. Njoo ujipatie pamba kali za watoto kuanzia mwaka mmoja hadi miaka 10 kwa bei nafuu mno. Bei zinaanzia Shilingi 5,000/- tu! Hakika ushindwe wewe tu. Duka lipo Ubungo NH, Nyuma ya NBC Tawi la Ubungo, Jirani na Sharon Hotel na Whitemark Hotel. Mawasiliano zaidi kwenye tangazo. Ahsanteni na Karibuni sana.

No comments: