Wednesday, February 15, 2012

AKUDO YATAMBULISHA VICHWA VIPYA


Kiongozi wa Bendi ya Akudo Impact, Tarsis Masela 'Joto' akiwatambulisha wanamuziki wapya wa bendi hiyo kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) leo. Kulia ni rapa wa bendi hiyo, Canal Top.

No comments: